Kitu hunishangaza na hawa sayantist ni vile one day watasema oooh butter si mzuri, tumia margarine....then the other day utasikia oooh margarine ni saaaitan ya blood vessels.
Same story na eggs. Ukiwaskiza, utapata umebaki tu na maji ukunywe....even that they are disputing the 8 glasses a day...