Search results

  1. E

    Turning Point

    sisi hapa na @JazzMan tunatafuta wale wa covid sana sana
  2. E

    Fuliza interest rates. What you might not know.

    payday loans operate in the same way.. unapata APR is as high as 1500% ukicalculate per year... I know of many people who are entrapped by these thieves.. unachukua loan moja kulipa interest ya nyingine... but saa zingine huna any other option.. ni hiyo ama kulala njaa..
  3. E

    This & That - Confused Video Edition

    Unalipwa mangapi na hawa competitors wa tiktok?
  4. E

    CNN gets red pilled once again

    nikurudia tu vile alisoma pale breitbart
  5. E

    Magoha threatened by a minor

    hahahaha....kuna kiwango inafika mnakua mnasumbuana nyote kwa nyumba
  6. E

    Magoha threatened by a minor

    nani hapa nimeambia how to parent.. nilisema mimi mtoto wangu... anyway... each to their own..
  7. E

    Magoha threatened by a minor

    na wakue sio deadbeats ama weekend dads.. mtu unasumbuana. na watoto kila siku baada ya kazi...
  8. E

    Magoha threatened by a minor

    wasn't that part of the discussion? guka is clearly an "anti-example" anyway each to their own
  9. E

    Magoha threatened by a minor

    the Internet is a very evil place for an immature brain... children need supervision.. let her whine to her parents and agemates... sasa mamake pia akimkasirisha kataenda twitter kubweka? you don't come across as someone who is bring up children... btw kuzalisha sio kumaanisha wewe ni mzazi
  10. E

    Magoha threatened by a minor

    unabishana na mtu hana mtoto.. mimi niko na mtoi around age ya haka kamangaa... sarakasi kama hizi hawezi hata ota nazo
  11. E

    Covid joke no 99

    hili jibu utangoja saaana
  12. E

    2nd Wave?

    wameona europe imeanza 2nd wave wakasema hawawezibaki nyuma?
  13. E

    Breaking News: Musingu High school dormitory on fire

    sisi kwetu ukirudi after suspension ulikuwa unaonwa viboko na mwalimu alafu budaako anakunyorosha zake pia.. hahahha
  14. E

    Breaking News: Musingu High school dormitory on fire

    kuna mafala walijaribu hizi sarakasi ni kiwa shule.. long story... expelled.. shida. na police for arson then no good schools would touch them..stress kwa wazazi wao.. na all that for what?
  15. E

    Breaking News: Musingu High school dormitory on fire

    comrade power hiyo.. reality huchapa ukifika home na hata pesa ya chakula hakuna.. kwamza hiyo pocket money yako imebaki ndio inanunua supper...
  16. E

    Breaking News: Musingu High school dormitory on fire

    miezi sita nyumbani haijatosha hawa mafala?
  17. E

    Modo wa Nyumba

    hehehe wachana na hii impure bred.. mbona hajaspell nyumba as nyoba?
  18. E

    Transition.

    nobody owes anybody anything... may he RIP
  19. E

    Osheni mesho na mouthwatering chicken

    sawa umeingia kfc mara ya kwanza
  20. E

    Religion - Some Logical Thoughts

    viva trump?
Back
Top