Pia inategemea na discipline ya wazazi.. hapa for example..my eldest namchukua from school between 1445 na 1500..all bubbles have their 15min slot..most parents arrive on time
schools hapa wanaweka watoto in "bubbles" any kid from that bubble akipata symptoms za covid wote wanaenda nyumbani.. then testing takes place.. within less than 48hrs wanapata results