kwa hizo giza giza za power rationing nilikatia mbotch wa jirani.. akajipa kwa corridor... lakini the moment nilimguza i was finished hata kabla suruali ifike kwa magoti... massively...
good guys.. siku za power rationing they had a powerful generator... ilikuwa inawasha our balcony kwa hiyo njia ya kuingia korocho.. watoi wote tulikuwa. tunasomea hapo... mimi hata nilipata kadem hapo.. good times
nimemiss hizo... @Ssabasajja should remember.. pale old outering ring road.. junction with juja Road.. used to be called rounder ya outering.. kulikuwa na kibanda ya madondo pale.. mungu ambariki mwenye hiyo kibanda