Kuachilia kijana mdogo wa miaka 18 ng'ambo ni balaa..
Braza ndege alikua anazionea pale kwa kamlima karibu na emali township..
Fast forward a few months..braza akajiapata ulaya..best grades kcse..but do i say..
Sasa pale kwa airport..braza akapeana hata akala zake...akijua eti pale ulaya maisha...