Betty must grow a thick skin like Kasavuli. Huyo mmama aliharibiwa jina so bad. She took a big break from news anchoring akaenda ocha kwa wazazi kulima then 5 years later akarudi stronger.
Kasavuli was a single mom like Betty.
Betty awache watu waongee kwa blogs na asiwapatie any looks into her...