Kuna nyumba nilikuwa naishi, siku moja nikajipata na jaribu kusonga kwa bed nikaskia Kuna block soft sana, nikaskuma nikaskia mtu ananishow nisimskume, nikaamka mbio kuwasha stima nikaona Hakuna mtu so kulala tena. Keshoye nikahama.
Afterwards kuulizia nikaskia during tribal clashes za 1997...