Saa hii Hakuna kuflex in public kwa jams, pubs, public functions, unabaki ukicheza brikicho na bibi yako na watoto, umekunywa fombe imeanza kukuchosha, unajichomea kanyama hauezi post kwa status za social media, slay queens ndio Hao kila saa ni texts za uwaokolee, ni kubaya I say