Huko Grogan containers za spare parts zilikatwa katwa na welders na chokosh wakabeba scraps. Saa hii karent kamepanda kupanda
Msee ako na building huko ni birionea wasee wanakubeg uwagawie space. A year from now hata Nyayo market itakuwa imeenda.
Mechanics wameambiwa wajipange walease plots...