Kuna jamaa alikuwa analeta show qtv wakiwa na dame fulani, Kisha show ikascrapiwa. Last niliwaona morning show mbci. Ukiwaangalia unaona kweli Maisha imewachapa videadly na hata 1 year haijaisha. Wanajaribu gumzo walikuwa nayo hapo awali bado chemistry hairudi. Hawakukaa 2 months wakafurushwa...