Yah, nilienda kumsupply Machakos shule princi fulani alikuwa amenishow nimpelekee mali kumbe transfer ilikuja kwa ghafla na hakuwa amenishtua. Kufikia Macha napata princi mwingine akanishow hizo deliveries coz they were meant for the school nimuachie Kisha nipigie yule mwingine.
Kupigia previous...