Hiyo post ya daily Nation ya Kplc lamenting imefanya wasee wakuwe curios ajabu kuhusu solar, hata local hatukupumua Jana, Kuna electrician alipeana biz cards najua hatakosa tu projects hivi karibuni
Wueh, kwanza ukipata wale mikora Saidi ni nduru tupu. Kitu nilisema sitawai jaribu ni kupeana blank invoices princi akitaka dough. Upuss of the highest order. Utapata ya kwamba uliuzia shule ngombe banae