Hii scam naielewa tu visuri, Kuna tu jamaa tulikuwa tunakumulika kwa local tu nakushow ubuy line ya safcom, unactivatiwa then tunapiga simu fulani, unaambiwa urestart simu, kidogo tu unafuliza na line ikiwa mpya. Shida ni ati tuna chukua lions share lakini wewe you are the one to be followed...