I was alone so decided to treat myself, I went to the farm and since nilikuwa na unga ya kisiagi nikatafuta mboga
After kushiba kulikuwa na KC lakini kabla nifungue jamaa akapita na seedling ya Hass ovacado akaniambia tu exchange.
So today I planted as I was weeding and top dressing the...