I bought my first phone samsung E250 back 07 na hii kitu. Hii kitu was a thriving biz pale kwetu ocha then. This thing kama umeenda West of L.Naivasha imejaa kila mahali. Now vijana kwetu walikula miaka kadhaa ndani juu yake. Tukiiona tunameza mate na kusema haisuru.