Tilapia iko poa sana. Kuna a type which was introduced a few years ago inaitwa common carp(sp) hio sio tamu vile. Pia cat fish inaonja vile inakaa. Fish nilichoma na mafuta then tukaweka kasupu. Then paka ilivamia mafish usiku ikameza ka nne, iko WANTED hapa,imeenda missing tangu jana.