Akiweza jifinya afikishe 100, hiyo ni ka-125cc mpya safi. Second hand is a mixed bag. The bike might be poorly maintained ashinde kwa fundi.
Otherwise, aangalie sprocket zisikuwe zimeisha. Aangalie kama bike inatoa moshi, piston ring zinaweza kuwa zimeisha inachoma mafuta.
Na pia aangalie...