Search results

  1. JazzMan

    High-speed internet via airborne beams of light.

    Finally, zuku apate competitor wa maana Lakini laser inakuwa affected na precipitation na clouds. So ile siku kunanyesha ama kuna fog itageuka kuwa hindernet
  2. JazzMan

    THE BASOTHO BLANKET HERITAGE

    Kind of like the Maasai shuka
  3. JazzMan

    Nini mbaya na polisi

    We need to decriminalise a good number of these things that happened organically in traditional societies and focus on getting the best quality. Huko pande za Bumala kuenda Busia watu haeanunui bottled spirits, ni traditional inguli all through. Making chang'aa illegal was to just help mzungu...
  4. JazzMan

    Ngina Kenyatta is a mother

    Huyo mtoto ndio atalipa madeni babu yake alichukua?
  5. JazzMan

    Katika pitapita pale YouTube...

    Heh, hii sikuwa nimefikiria hivi. Na ufanye mpaka massage na upake cutex
  6. JazzMan

    Katika pitapita pale YouTube...

    Ofkos analipwo, kama mpaka hiyo mashini anatumia inavutwa na pickup, na ameleta bibi na watoto kutazama, iko pesa.
  7. JazzMan

    CBC finally taken to court.

    Boss Baby hana legacy. Na bado inakaa atapigwa vita akitoka kwa kiti. I love this.
  8. JazzMan

    Katika pitapita pale YouTube...

    Nikakutana na this channel called the Hoof GP and I can't get enough. Yaani the guy goes round farms checking the hooves on cows, dealing with whatever issues they may have and even leveling the hooves. I don't know much about caring for cows, but do Kenyan farmers enjoy similar services?
  9. JazzMan

    The Rise of Kenyatta DYNASTY

    Getting rich off mali ya umma na kunyang'anya Wakenya mashamba
  10. JazzMan

    Mabingwa Lugha na Wajuaji, Swali!

    Ishirini na mbili elfu, na ishirini na mbili
  11. JazzMan

    Jacob 'Ghost' Mulee Fired

    Haiya, harambee stars bado wanaexist?
  12. JazzMan

    Bottom up economic model discussion

    Yanni nyinyi wote hamuwezi soma statement vizuri, ama ni lazima muwekewe stress points ndio mushikanishe statement? Hata kama ndio kuchukia watu fulani, someni statement na muelewe. Haiya, ndio hii basi
  13. JazzMan

    Mabingwa Lugha na Wajuaji, Swali!

    This is informal. Sanifu should be 22,000 = ishirini na mbili elfu 20,002 = ishirini elfu na mbili
  14. JazzMan

    Bottom up economic model discussion

    Ile kitu mimi naweza sema, this bottom up model has merits. Shida ni implementation. Ndii in a tweet alisema they are not going to reveal the details yet ndio hawa jamaa engine wenye hawana sera wasifanye photocopy. As of now, this question of HOW is premature. Wacha tungoje wenye sera waongee...
  15. JazzMan

    Land Rover Kenya

    Caro si pia alipewa Discovery akagongesha Ni madharau ile Wandia Njoya huwa anaongelea ndio imekita in some of these industries. Hawawezi pea mtu who is not close to power eti afanye review. Hata wakifanya, huwa wanaenda in a convoy na wanarudisha magari the same day.
  16. JazzMan

    This thread is fire!!!

    Kenya Power and Zuku, the two utility companies with the worst services the world has ever witnessed
  17. JazzMan

    This thread is fire!!!

  18. JazzMan

    Mt. Kenya leaders demand 40% in the next government

    Kenya basi igawanywe kila mtu arudi kwao
  19. JazzMan

    UEFA Champions league opening night

    BOLINGOLI!!!! KICHWA KAMA TEKE!!! lakini credit to Zenith. Nilikuwa nimejua hii game ni draw.
Back
Top