Search results

  1. JazzMan

    new castle part ways with bruce

    Wacha alishwe aibu kuu na Liverpool ndio afutwe. Halafu clearance ya wachezaji ifanywe
  2. JazzMan

    Malmo wanaonyeshwa vumbi...

    Weh, something is gravely wrong at ManU
  3. JazzMan

    Malmo wanaonyeshwa vumbi...

    Kama kawa Werner amegonga mpira nje bao ikiwa wazi, halafu Christensen akapiga mpira ndani ni kama anapiga mwizi teke. Mechi unawezatazama kwa Hesgoal.com KTBFFH!!!
  4. JazzMan

    This is Guka - Let's Appreciate Shujaa FMCP...

    Fixed. Hapo guka hawezi shikwa na cancer. Ni kama kufanya walnut blasting kwa GDI engine ama sand blasting kwa rims
  5. JazzMan

    new castle part ways with bruce

    Antonio Conte, Zidane and more top level coaches are currently jobless. Kulikuwa na rumours CR7 ashachimbia Ole kwa board na aka-recommend Zidane. I hope it pans out ndio ikuwe vita kali dhidi ya Tuchel, Klopp, Zidane, Guardiola na Nuno. Betting companies are about to kukafunga proper. Si...
  6. JazzMan

    Padre ameangushia kondoo minor sabuni

    I want to laugh but the situation it's been used in is terrible.
  7. JazzMan

    Lipafool...

  8. JazzMan

    Lipafool...

    Atletico wamerudisha mkono. 2-2 pale wanda metropolitano. Kuna timu nyingine kutoka EPL imewahi shinda kwa hicho kiwanja isipokuwa Chelsea?
  9. JazzMan

    THE STATE OF ROADS IN SUGOI

    Tueleze zaidi. Wengine wetu tumetupwa mashambani bila kutarajia. Na ndio nilikuwa najua ikifika wakati wa kununua tractor hii ndio brand badala ya wale mafala wa John Deere
  10. JazzMan

    Arsenali yaua nyoka

    Don't you mean wakamuliwe bila arimis kama ngamia za waborana?
  11. JazzMan

    For 100kcr. Nani huyu?

    Huyu ni @mzeiya . Yule mwingine mwenye unafikiria hawezi tumia chupa ya Jack Daniels. Atakata kibuyu ya elianto amwage jug daniels ndani.
  12. JazzMan

    Jakipash Kinyozi

    Jakipash kinyozi wake ni China Wu Yi. How else can he maintain that runway in perfect condition
  13. JazzMan

    This is Guka - Just a Little Kweshon..

    NImekita kambi hapa pia mimi nijifunze. Naunda country home na hizi ndio vitu that excite me at the moment...
  14. JazzMan

    Video tatanishi...draw your own conclusions

    Just because the others haven't said anything doesn't mean the tradition doesn't exist. If anything, they haven't denied it either.
  15. JazzMan

    Video tatanishi...draw your own conclusions

    As I have mentioned before, this is a common occurrence among Luhyas. Just because some fathers choose not to do so does not now mean it is a rare practice. Stop assuming your culture applies to every one.
  16. JazzMan

    Video tatanishi...draw your own conclusions

    Who qualified you to declare it is broken parenting skills?
  17. JazzMan

    Video tatanishi...draw your own conclusions

    Inaitwa inguli. Inatibu homa, malaria, corona na typhoid halafu haina hangover.
  18. JazzMan

    Video tatanishi...draw your own conclusions

    Sasa hapa ni vile imefanywa ndio inakaa makosa, but waluhya introduce pombe to kids very early. My own father alikuwa anatukusanya kwa sitting room, anatoa makali kwa cabinet na anatupea tot na bottle top. Saa zingine anatupeleka Afco ama kwa mess anatukalisha na his colleagues, wanaspend the...
  19. JazzMan

    Someone Asked: Wheelbarrow Or 6k

    Huyu ni hesabu za ufala anapiga. Ashawahi ona nani akipiga 10 trips a day na wheelbarrow? Ama anadhani kusukuma wheelbarrow ni kama kukuroga sufuria ya githeri?
  20. JazzMan

    Karma: John Serut

    Kama kuna mtu siwezi onea huruma ni polisi na wabunge. Kwanza huyu ako na kesi zimemuandama za kuchocha ghasia na kudhulumu wananchi.
Back
Top