Shule ya kwanza kustrike ilikuwa 1908, na ya kwanza kuchomwa Kenya hii ilikuwa na huko 50's. Mtu asijaribu kuwekelea watoto wa siku hizi wako na kasoro. Fix the education system
Hehehe, mdomo mingi akasahau Tuchel ni kichwa maji
Chelsea fans pia hawajambembeleza...
Sasa shida ni haijulikani kama Werner na Havertz are fit to start. This decision might be costly. Ni kusubiri tuone.