All these Congolese singers wakutaja watu majina huwa wanalipwa. Madilu sana sana alikuwa sponsored na yule president wa Congo Brazzaville.
Ukisikia jina tchatcho mbala kwa nyimbo za Fally, Madilu, Koffi and the rest, jua they are bigging up a mineral broker with a reputation for ruthlessness.