Hapa vitisho za CS haziwezi saidia. Hii imekuwa issue tangu kitambo, ni serikali bado wanatumia manual mkoloni aliwawachia.
Hizi banditry kutoka Lamu hadi Mandera ni social issues ndio root cause. The communities themselves are supporting the gunmen.
Weh, hapa ukijaribu kufungua general shop unakutana na leseni kama 12, kodi ya miezi sita, na bado unadandiwa na mafisi kama D minus wakitaka kakitu kila siku.
Hiyo story ya Lootall leading in cendro inaweza kuwa ni njama ya kumdanganya ako mbele so as to keep him complacent.
But why would I care? #TeamKigame Clear Conscience Battalion reporting for duty
The judge who passed the ruling kumbe was found to be unfit to serve and opted to retire instead of facing the vetting board. I knew there had to be a problem somewhere
https://www.the-star.co.ke/news/2016-03-16-ombija-opts-to-retire-instead-of-fresh-vetting/