Karibu sna katika kijiji hili. Cha muhimu ni lazima tukufanyie ubatizo katika dini ya Kenyanlist. Tukianza, tumekutengenezea baby shower. Kwa moyo mkunjufu, naoma ufate wenzio haraka upesi. Hata usifikirie sana, ingia tu...
Ukishatoka, jitingize kama vile mbwa anavyofanya ndio ukauke. Kisha...