2M in cash? Huyo pia awekwe ndani kwa kuwa na ujinga kama ni pesa yake. Na kama hizo black papers resembling kenyan tender ni zake pia, arushwe ndani zaidi. Huyo ni mtu wa wash wash, ama pia yeye alikuwa ameenda kuhadaa mwenzake.
Halafu hii story haina mbele wala nyuma. Which power saw is this...