Hapa ndio watu kama Man City, Chelsea, Liverpool, Bayern. Real, Atletico, PSG. Juve etc wataumia proper. Either they give up domestic title chase ndio washughulikie UCL, ama give up UC for domestic titles. The dark horses wale hawana bahati kwa ligi are going to give teams that try to ride both...