There is another factor in productivity we tend to ignore: time.
Saa zingine time may not be on your side, in such a situation, utatoboka tu. Ni kama kujaribu kuenda Busia na kadudu ndio usitumie mafuta mingi lakini kitambo ufike umechoka kama punda. Ungetumia a 2.4l Vanguard can get you there...