Naona saa hii vile kuna curfews na restrictions vifo zimepungua so kifo yoyote in public inakuwa highlited sana. Alafu tena juu ya kuogopa covid watu wakicolapse in public hawapati usaidizi; unfortunately kushindwa kupumua ni njia moja kubwa venye covid ina-manifest