Nafikiria majina ya wanyama hutumiwa juu ya character za huo mnyama, say strong,fast, cunning,wise,goodhunters etcetera. Zingine zenye hazina kama primates zinatumika wakati kulikuwa kunaonekana ni kama lineage ama familia inapata mikosi, hio jina inatumika kukata hio percived misfortune