Search results

  1. shocks

    IKo Sida Ya Mwewe Kwa Buroti

    They are now swopping low and achieving contact with kids. Is there a way to chase them away coz if they hurt any kid ni poison tu. Meanwhile iko jirani ame contact KWS akaambiwa ni mali ya serikali asijaribu kuuwa.
  2. shocks

    Stop club photography

    Lakini sray queen won't be caught dead there! Na jamaa hataki kumpatia chapaa aende to a club of her liking solo coz anajua atachotwa.......
  3. shocks

    Caroline Mutoko Speaks

    Na baafrika adores that accent ensuring they are paid top dollar
  4. shocks

    Stowaway on Plane From Nairobi Baffles Dutch Police After Surviving 11-Hr Flight

    Si kama kawa KCAA na KAA na Matiangi ni kuruka futi kumi, huyu alitoka S.A , wanajua hadi jina yake, Xolani Khumalo
  5. shocks

    Kenya donates food to India - amefanya kazi

    Very likely it ain't GoK, local billionaire bahindi wamerusha kakitu home. I remember the donation to Tz was the same, KDF only facilitated transport
  6. shocks

    This is Guka - Hawa Waliona Moshi, Wuueeeh!

    I'm sure the transport wasn't up to code
  7. shocks

    Malawi

    Some believe its a bribe to the most high who will in turn favour them above others with more riches. You can easily see why there is a cerelation between corrupt society and these guys
  8. shocks

    DCI arrest most wanted mwalimu

    DCI wana chocha mob, "Extensive Forensic Analysis" na jina ya jamaa iko tu hapo
  9. shocks

    My First Earthquake, Githingithia, Damathia. MaDVD Official Thread

    hapa corner nimeskia mtetemeko kitoko, watu wamevalia kofia za green wengi sana
  10. shocks

    Curious case of Justice Chitembwe

    Kesi alidhani will shape his career imemtoka
  11. shocks

    Azimio campaign funds

    Ya Sugoi apparently is as high as 100M, thats why Waiguru upstaged Ngirici na Jungle akashindwa
  12. shocks

    Accident Alert: Miritini

    Hiyo ni upuzi gani watu huskiza when uko na unlimited choice in music
  13. shocks

    Cheki maneno.

    I used to see walimu wa high school wakiingia na kutoka as they wished, bora they attend their lessons
  14. shocks

    Shimanzi industrial Area Mombasa.

    If you profit from inefficiency siwezi kuhurumia once the cheese is moved. I was hoping jamaa alikuwa anaongea kuhusu manufacturing, lakini kushikilia mzigo za watu then charge them handling........... walizoea za bwerere Si basi lets also protest for the cartels at sheria house whose business...
  15. shocks

    Jakipash has done it again

    Thickness labda ni 1.2mm, I hope hizo ni temprorary framing
  16. shocks

    Thika MP Wainaina wa Jungle quits UDA citing political conmaship by Ruto

    Alikula pesa ya siasa, itaanguka kisiasa. Unajua mahali alitoa contract ya kussuply kplc na power poles. Huyu ameona mbele, he is keeping whats in his safe, safe. (nime-bite line ya Kanye)
  17. shocks

    Githurai 'Hustlers' Accuse DP Ruto of Lying About Ksh2 Million Donation

    Hehehehehe, bado watu huamini 'wewe enda, nitatuma pesa next week"?
  18. shocks

    Justin Muturi to Raila Odinga

    Huyu jamaa anapiga wote ma sweep, sijui game plan yake ikoje
  19. shocks

    Shs 28 billion Railway City Coming up

    Kutoka donholm hadi uhuru highway, wako na shamba kubwa sana. Swali ni mbona NMS ifanye planning kwa shamba ya railways.
  20. shocks

    They have come for Wanjigi

    And you think NDC ya orange will elect anybody else
Back
Top