Isipokua ni mzae kuchangamka mbio hii kesi ingeisha tu hivyo. Na unajua pale ushago inachukua one week kusanya fare ya kuja Nairobi. Alafu ukose help ya mtu anajua processes za kufuata. Polisi hawakuwa na wasiwasi ata kidogo vile walijua familia haina uwezo.