Ile siku nitaogopa minyambo ya punda ndio nitaacha kuishi,hizo jaluos zilinikuta tukiwa na uncle ruto na zitaniacha hapo tu. Na iwe on record , majority of watu wa murima tuko na uncle ruto mpaka 2032 bila break
Uncle ruto hawezi kubali sisi wakenya tuuane ,awachane na hao wacongo wamalizane,na achunge Sana hawa maburundi wasituletee ugomvi Kenya vile waliharibu kwao