Jam itatoka wapi kama watu wanatumia public transport or you think jams are currently caused by having small capacity public transport?
Also reli inahusiana wapi na jam kwa hizo barabara mbili umetaja?
Na si last week Yatani alisema we cant benefit from this because of the Eurobonds we took?
Something to do with we can be deemed to have defaulted payment so interest on Eurobond inaongezeka mara dufu!