Nishawai pita iyo Nairobi - Embu highway, hawa watu wanaendesha nika hao pekee ndio wako kwa barabara. What i learnt ukitumia iyo barabara be ready to give way ataka uko on the right otherwise utakufa bure
Night curfews have been implemented by various governments in the world but somehow Kenya implementing it becomes the "laughing stock". Ii ni fake news