No. They have to be fed false hope otherwise if they surrender crime levels will increase.
All the millions who graduate every year and very few opportunities created.
Hizi kazi huwa wamegawiana even before they advertise. Advertisement huwa formality because it is required by the law. But si vibaya kupatia young men some false hope. It gives them a reason to keep trying
Zilikuwa fake zote.
Kuna ile ya dragon fly. Ukishika dragon fly ung'oe mabawa upulizie your favourite girl eti she will fall in love with you. Ndio kwa maana hatuwezi fikia the Japanese, sisi tulikuwa tunaongezeana ujinga instead of kusoma hesabu :LOL: