Jaluo walipewa slots mbili kwa serikali ya handshake 🤝🤝, 2 slots na wakapiga magoti kidding the ground jabass walks on in tears.
Kikuyu wamejaa serikali na slots 10, lakini bado kasongo haamini hawa ni watu aina gani bado hawamtambui. He even had to fire ministers barely new into the job to...