First, biblia sio Habari Njema, bro!
2nd, huwezi kulinganisha kusoma biblia ya Kiswahili na kusoma hekaya yoyote ilio na all ingredients za utamu, ikiweko suspense and humor, hata kama hekaya yenyewe iko kwa lugha ya Kiswahili. Kusoma biblia ya Kiswahili hua stress tupu my friend!