Mimi nilifululiza hadi Fogo Gaucho siku moja. For Sh2,500 you eat all the meat you can. Fried, roast, boiled, rare and barely dead, burnt, meats of 100 kinds of animals.
Nikasema hapa ni kukula nyama sijawahi kula. Jamaa wa beef na mbuzi alikua anakuja na nyama namwambia atoke hapo na...