Hauwezi niambia ati hujawai vaa suruali mbili ama kuweka kitabu inside the back of your shirts to cushion the pain from caning.
In primary school I had a special pair of jeans shorts nilkuwa navaa under my uniform mwalimu akinichapa siskii kitu.
Anyway, explaining a joke is like having a condom...