nilipitia route ya pale Kenya Polytechnic. coming from haile selassie, nilipita post offise nikaenda past gate ya kenya poly then pale mbele kwa junction huwa na footbrige ahead just turn right. its quite a walk to the gate. kuna mahali utafika panakaa hivi. at the end of this curve the road...