Huyo atashtakiwa assault. Jinga sana. Watu wajue kuna cameras everywhere.
Lakini, also, I wouldn't say I like it when people go to heckle their opponents political rallies. Mtu akae nyumbani kama hataki kusikiza.
But this also raises another question. These campaigns saa zingine zinakuja...