SADAKA PRISS ITOLEWE. Tuko na paybill...
Sasa wakati umefika, wa kushika nilicho nacho (mimi)
Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi
Sasa wakati umefika kwenda mbele ya Mungu wangu (mimi)
aone nilivyoandaa zawadi ya leo
Nitamwambia Bwana pokea hiki kidogo nilichonacho
Kwani Mungu wewe wanijua...