Hii hype ya fast food ilitoka wapi hapa Kenya? 2016 tulikua dundaa Nairobi CBD alafu drinkmates wakadai wako njaa, 2 am teketeke Hadi mama ngina line ndefu Sana ya teenagers. Food ilikua ready 3am , hata na njaa I could taste raw eggs , baking soda Kwa nuggets and too oily ,then chips zilikua...