I'm just trying to argue my point Dowry si deni ni a "TOKEN OF APPRECIATION " hapo Juu ulisema ni obligation. Young men out here are paying 500k to a Mill Kwa msichana amezalia kwao bila shida. Si deni ati lazima ilipwe na glock Kwa kichwa
I got another question, siku za mababu zetu msichana akizaa kama hajaolewa alikua anaolewa na wazae bila dowry . Lakini leo msichana na Watoto wawili utalipia hata milioni. Is this just?