Yes Mimi team yangu Liverpool.
Lugha foreign? English, some bits of Italian and Latin and portugues but am not fluent
Local lingua? mimi ni Kimeru, Kiswahili, Nasikia Gikuyu yote but kuongea ngumu juu ulimi wangu mzito mno, abit of Kibukusu, Gusii and some variants of Kalenjin