All protocals where observed, parking check(gari za jirani pia zilikuwa lakini hizo hazikuguswa), switch off ignition check, steering lock check, lock doors check(confirmed manually doors locked) mimi huyo nikafululiza hadi kwa nyumba, kuamka asubuhi nikupigwa na butwa. Jalopy haikuwa keyless