Sai naona akina @Meria wamepanga mlolongo hadi interchange ya Kite kutoka Mlolongo weigh bridge. Ka uko na biashara tao tumia alternative route ka wewe ni mtu ya Kitengela.
Watu wabaki kwao literally
II barabara itaonyesha watu mambo, naskia kame shikana kushikana ii masaa. Passed it yesterday what remains a mystery to me is the fact that 4 lanes at the weigh bridge have been converted to a one lane road. Ka unamipango ya kutumia ii barabara baki mahali uko, ukuje asubuhi
How was this Club run by the previous management, mess yenye iko kwa iyo Club si kidogo, Liverpool walilipwa after Coutinho kushinda Champions League na Bayern. Are we about to witness the Spanish Version of my team Leeds prior to their Relegation in the 2003-04 Season after years of financial...