Nimechukulia hapa Kasarani Health Centre less than 10 min, hakukuwa na watu. Unaezapitia hapo Nairobi West Hospital naskia hakuna line uko. Jaza Form ya Covid Vaccination kwa Health Portal
I hear by disassociate mi self from the Brave brigade @Ngimanene na Muchere you have a hole to fill. Mimi nimetoka kupata yangu chanjo. To wamunyotas wanasema once vaccinated no drinking for the next 5 days.
Ii clip sijui imetoka wapi lakini ka ii ndio maneno ilisemwa he he Hustler ushawachwa kwa mataa. Saa ii ndio anagutuka ako kwa Serkal. Ii Comedy ni bure
Haha vifaranga za kompyuta zinakuja...apparently my Huduma Card was sent to Huduma Centre Vihiga(i applied for that thing hapa kwa Mutua) and it has been collected.