Search results

  1. Jug

    Uhuru Under Siege, Wizi Umemulikwa

    Lead up to 2017 election showed hatuwesi saidika ka wakenya. Theft by Jubilee Govt was highlighted lakini "mtu wetu syndrome" was strong. Next year make informed decisions ndio msikuje kulia baadaye
  2. Jug

    Soft life in a Single Room

    :ROFLMAO: Gwachia hapo
  3. Jug

    Employment bill

    Shida ni kwa ground lasma wataitisha izo vitu
  4. Jug

    Christmas comes early in karatina after train knocked down a Coca-Cola trailer,

    KDF ndio imekosekana tupige sherehe kamilifu
  5. Jug

    Moi University insolvency...( the very simplistic question)

    Shida ya Parallel ni watu waliona Universities as a business venture, wakatoka from their core mandates. UON walichanganywa na pesa wakajenga Tower, KU mwingine aka enda on a development spree building concrete all over. Mall almost 10 years down the line haina anchor tenant.
  6. Jug

    Smart TV

    Kibandaski ni wines & spirrrt
  7. Jug

    Car Theft Pandemic

    Demio naskia pia inavunuwa ka njugu ukikaa mbaya
  8. Jug

    In the Headlines

    Church walikuwa wanatupaka mafuta kwa ngongo last week wakisema no "Bolitics kwa Bulpit" watu washa rudi default setting after kuonyeshwa ma$$$. Izi vibanda zifungwe Hapo kwa NHIF iko shida where are the remittance going to ndio tuambiwe iyo watu hawaezi meet obligations. DAMN
  9. Jug

    Car Theft Pandemic

    Iko shida mahali, exactly what is the end game ya hawa wezi. Ii market yenye inafuel car theft iko wapi?. Saidieni huyu Surf imeenda(at this rate we need a Hessy wa Magari).
  10. Jug

    Is Kenya about to have a financial crisis

    SGR will haunt us for generations to come, lakini watu waliipinga waliambiwa hawataki maendeleo hapa tuseme it has bitten itselefu. Oct ushers the New Taxes that are to be implemented hapa tujitayarishe for proper shafting
  11. Jug

    Smart TV

    @Giggz nisirudie kukuita, hehe lete mali ikaguliwe
  12. Jug

    Eurocopter For sale

    Mkono moja?
  13. Jug

    Smart TV

    Wadau nipeeni directions on where to get a good Smart Tv 32' for a kibandaski bora wanaume wasiumie macho wakitazama mufira, quality ikue shonjo. Luthuli mlisema ni wakora lakini ka unatambua shop msuri hapo pia unaeza nipa directions nitembe uko. Sande sana.
  14. Jug

    DP Ruto on Saturday attended a church service at African Church of the Holy Spirit Dumbeni, Malava, Kakamega County.

    Izi Kanisa ziache kutupima ujinga, juzi nilidhani Eureka Moment ilikuwa imewadia venye akina MDVD walikatazwa kuaddress congelegation
  15. Jug

    Kcr Withdrawal problems.

    Kuwithdraw ndio iko na sida, kwa kutransfer iko sawa
  16. Jug

    Matatu Fuel Hike Strike on Thika Road.

    Kweli kabisa, keyboard warriors ndio wanagoma huko twitter. Headed back to Kasarani na ni nywe. The only thing causing jam ni accidents na BRT Works
  17. Jug

    Matatu Fuel Hike Strike on Thika Road.

    Hapa ni wapi ju nimetoka Hunters na naona barabara ni runway kila kitu iko shwari ka kawaida
  18. Jug

    Car Search

    Wadau can a Car Search @NTSA reveal the Phone number of the Current Owner(maswali ndio staki)
  19. Jug

    Facts only

    Mimi i gave up when niliskia tuende tupatie nani 'Birthday Present', sai wengine wanasema 'tunapigia nani Kura kupunish ule mwingine', mwingine na yeye alikuwa stori za risasi moja, bangi (with all due respect to the Holy Tree) yenye wakenya wanavuta ni grade ingine haiwes patkana mahali ingine...
  20. Jug

    Kumeharibika

    @Digi is this you? Iyo click bait ni noma
Back
Top