Tulijikoroga kwanzia 2013, unajua kuna mtu amekuwa Prezo na hatujawai ona makaratasi yake, kuna mwingine tunaambiwa ni welder na makaratasi hatujawai ona, alafu kumalizia kuna an Doctor mwenye hata undergad hatujui kaa alifanya. Hehe let Sakaja be we laid the bed wacheni tulale kwa iyo kitanda...