Search results

  1. Jug

    The General Elections 2022

    Nikujipanga my fren...now this is where the Sportpesa Takeover makes sense(Disclaimer) 😂
  2. Jug

    The General Elections 2022

    The Proverbial Kuingia Mitini is coming back to haunt us. Chebucut ameingia mitini banae 😂
  3. Jug

    Kusalimiana Battalion

    Hehe Kijiji ikipatana pale kwa @Female Perspective...receipts everywhere
  4. Jug

    post elections analysis

    One week of no Business economy has taken a beating wacha tuone ka itainuka na JSKS
  5. Jug

    Do you guys remember this match a few years ago?

    Akifunga sisi hatuna shida all the bravado yenye tulikuwa nayo ilipigwa saa ii tuko tu
  6. Jug

    post elections analysis

    Sasa tuchambue what might have led to JSKS to loosing the seat according to the gospel of @Okiya. Haya tuende 1) Biggest Corrupt fellow in the Chupilee Govt. 2) Youths don't vote 3) Banking on the Kale - Kiyuk Block Disclaimer:- hata sijui nasema nini
  7. Jug

    Epl today

  8. Jug

    The General Elections 2022

    Tuko shimo moja lakini hapa i beg to disagree, si Bomas kuna screen ya all tallied votes so far but zikikuwa posted bado mnazireject ama mtupatie izo za IEBC yenye mnaquote tukuwe kwa same page...sande. Guka alisha inua mkono So far hesabu iko ivi with less than 40 but from IEBC they are...
  9. Jug

    post elections analysis

    Trading blames and accusations hapa itakuwa messy
  10. Jug

    The General Elections 2022

    Hawa watu mimi nashanga wako Nchi tofauti na sisi wenye tunaona ishaenda, mwingine nimemuuliza ananichapia story ya Baba amepita nayo and every tally points to the contrary ama ni nini wanajua yenye sisi wengine hatujui watuambie
  11. Jug

    The General Elections 2022

    Yeah hata saa ii wameupdate zingine mbili currently at 211
  12. Jug

    The General Elections 2022

    Smoke Signals @Okiya ii kitu imeenda ama hizo 82 kuna kitu unangoja?
  13. Jug

    The General Elections 2022

    Kwa ivyo tutumie smoke signals...ka imeenda imeenda haina haja ya ku deny nikaa kuna miujiza itatokea
  14. Jug

    The General Elections 2022

    Official Tally so far
  15. Jug

    post elections analysis

    Watu wengine ni mwiba wa kijidunga...huwezi lazimisha ng' ombe kunywa maji, hapo kwa kudiscredit other leaders pia imerudi imewapiga finger na si kidogo
  16. Jug

    Unchanged Fuel Prices

    Son from Ichaweri bado naonea sisi huruma, subsidy bado iko for one more month
  17. Jug

    The General Elections 2022

    Commercial BREAK
  18. Jug

    The General Elections 2022

    Just for laugh mi naisha
  19. Jug

    The General Elections 2022

    @Okiya lete updates banae
  20. Jug

    Chinese Auto

    Bana from the price point sijui ka KRA watacheza kiwao hence no changes will be felt ju ii Haval is quarter of what the X4 Costs. For reliability lest wait for reviews from the Aussies so far they are the largest importers of the Haval
Back
Top